
Kundi la Islamic State limekiri kutekeleza shambulio la kilabu ya usikju mjini Istanbul
Kundi la Islamic State limekiri
kuhusika na shambulio baya dhidi ya watu waliokuwa wakiukaribisha mwaka
mpya wa 2017 katika klabu moja ya usiku mjini Istanbul Uturuki.
Katika taarifa, kundi hilo limemtaja muuaji aliyekuwa na bunduki ya rashasha kama shujaa wa kundi hilo.
Huku
Polisi wa Uturuki wakiendelea kumsaka mshukiwa huyo mkuu aliyetekeleza...