![]() |
| Roboti inayoweza kushiriki ngono na binadamu huenda ikazinduliwa mwaka ujao |
Je ungependelea kushiriki ngono na roboti? ungefunga ndoa na roboti? na Je roboti anaweza kuwa na haki ya kupinga ndoa hiyo?
Haya
ni baadhi ya maswala machache yanayoulizwa katika mkutano wa pili wa
kuwa na mpenzi wa roboti mbali na kushiriki naye ngono katika chuo kikuu
cha Goldsmith mjini London baada ya serikali ya Malaysia ambayo ndio
iliokuwa taifa la maandalizi ya mkutano huo kuupiga marufuku.

















