Wednesday, October 12, 2016

MPYA MPYA: Linah aachia wimbo mwingine mpyaaaa.....


Mwana dada wa nguvu na msanii nguli wa muziki wa bongo flavor  Linah Sanga, baada ya kuachia video ya wimbo wake uitwao Raha jipe, sasa ameachia single nyingine mpya iitwayo ‘Kosa Sina’.imetayarishwa na producer Ema The Boy
Unaweza ukabonyeza HAPA kuusikiliza wimbo huo mpya na kuupakua pia

0 comments:

Post a Comment